mkuu,maisha haya yana mambo mengi acha tu
,hata mimi nimewahi kupotea mwaka jana yani nilijikuta naenda tu bila kujua naenda wapi i was stressed afu ilikua usiku,bahati nzuri nilifika sehemu akili ikarudi nikagundua nipo sehemu ambayo siijui so unaweza kukuta ya huyu jamaa haijarudi hadi leo