Weeeeh, niliifanya hii miaka hiyooo nikiwa bado kigori, yaani nilikuwa napewa hela nairudisha au nachukua elfu 1 namrudishia elf 9. Nikaachwa kisa nadharau pesa zake, nadharau hawezi kunitunza, sithamini anavyojitoa kwake.....
Ngachokaa!!! na nikalefti ndoto za kuolewa mazimaaa ππ.