Hahahha mno yani tunawacheka tu.
Sio kweli 😁😁Mwembamba ni pre season!😂 umemchagua mwembamba kijanja🙄
Mimi nimemchagua huyo mnene☺️Sio kweli 😁😁
Unanisema?🤔
Hawa walikua hawali nauli 😁Unanisema?🤔
Kwani kitambi changu ni cha kula nauli😒Hawa walikua hawali nauli 😁
Nimekumbuka jeshini
Sijui mimi😆Kwani kitambi changu ni cha kula nauli😒
Mimi nauli sili! Wewe tumaSijui mimi😆