Vituko mitandaoni. Tupia chako

Ukijitolea kwa mwanamke chukulia ni kama sadaka tu na usitegemee cho chote in return. A human being is capable of doing anything at anytime. Usitegemee kwamba eti ukimsomesha au kumjengea na kumnunulia magari ndiyo utanunua loyalty yake hapana. Ukitaka kwenda sawa na mwanamke wa hivyo, mzalishe; na hakikisha mtoto ni wa kwako. Hapo angalau atakukumbuka...
 
Ukichapiwa halafu ukaanza kutangaza ni kujidhalilisha tu. Mwanaume unapiga kimya tu huku ukiumia na kutafuta suluhisho kivyako vyako 😁
Kabisa Mkuu

Sisi miaka ya 47 tulichapiwa hadi kuletewa mimba zisizo zetu tulee, still tulipiga Kimya.

Hawa Vijana wa miaka hii, wanabeba watoto zao na kwenda kuwapima DNA kimya kimya πŸ˜œπŸ™Œ

Wanasahau kuchapiwa ni Siri ya ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…