Vituko mitandaoni. Tupia chako

Madam kilichokuchekesha kipi hapo?
Unajua huyo jamaa alikuwa na upendo wa dhati kwako ingawa alichelewa kukujurisha, lakini angalau ujumbe umekufikia.

Sikutarajia wala sikuwa na akili kuwa anataka tuwe na mahusiano ya mapenzi.

Kwa jinsi tulivyokuwa washkaji, niliona kichekesho, nilipomlia kobisi baada ya kufunguka kwangu akakasirika akanichunia nami nikakaza tukanuniana karibu mwaka mzima...😁😁.
 
Kukulana ni kitu bora zaidi kuliko urafiki.
Bora kuvunja urafiki kuliko kutokumkula rafikiyo🤣🏃‍♂️🏃‍♂️
 
🤸🤸🤸
Urafiki na Me hapana mtakulana tu one day yes.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…