Vituko mitandaoni. Tupia chako

Duhh
Kila la kheri
 
Wapo wamejaa tele!
Wewe kila siku unajisifu kubadilisha wanawake unadhani utampata wa kutulia na wewe?
You attract what you're
Sasa wanawake walivuo watamu wee nikae na mmoja nimerogwa au sina pesa 🤣🤣🤣🤣
Hao kama wapo basi ni mmoja kwa million mia moja. I aint that lucky and i dnt make decisions on exceptions
 
Sasa wanawake walivuo watamu wee nikae na mmoja nimerogwa au sina pesa 🤣🤣🤣🤣
Hao kama wapo basi ni mmoja kwa million mia moja. I aint that lucky and i dnt make decisions on exceptions
Wenzako wanapata waaminifu wewe endelea na hao malaya mnaokutana clubs kwenye madanguro

Wanawake waaminifu wapo tele ila hawawezi kua na wewe!
 
Single maza ni laana

Kanuni ni zilezile inapohusu single maza

●Hatulei bao la mwanaume mwingine

●Mwanaume anatakiwa aanzishe familia yake sio ajiunge kwenye familia ya mwanaume mwenzake

●Single maza waolewe na baba za watoto wao

●Single maza ni wa kupiga na kusepa

Ni mwanaume mpumbavu na mjinga tu ndiye anayeweza kumuoa single maza

Learn or perish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…