Kwa dunia ya sasa ni vigumu sana kuoa asee.
Mambo ninayoshuhudia mtaani kwenye mahusiano ya watu yanatia mashaka sana. 😓
Rafiki yangu anasoma muhimbili alitongozwa na mke wa mtu and mind you aliwahi date na mwanae anayemaliza F4 this year all because mme wake si mtu wa kushinda home yy anakaa hata week 3 haji nyumbani hili jambo linafikirisha sana 🤤😪
Ila namuomba Mungu nipate mke mwema kama wa
Robert Heriel Mtibeli 😁