Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,415
Ali kiba mtoto wa kkoo sometimes anafanya vitu kama mtu aliyetoka ndani ndani huko!
Daa, hukuchukua hata kapicha mkuu tuone nasi tufaidi kwa machoππΆββοΈπΆββοΈ
Lakini kumbuka post yako kule juu ulisema alikuwa anavaa nguo zake taratibu ili kulingishia matiti yake kwenu.Sikuwa na uthubutu huo, kuangalia kwenyewe nilikuwa napiga chabo ili asijue kama namkodolea macho.
Uteme kwa pamewekwa sumu gani?π₯΄π₯΄π₯΄π₯΄π₯΄
View attachment 2992629
Hahaha, huyo mama kweli naye hamnazoπ€£π€£π€£π€£π€£.
Mi pia nimeshangaa imewekwa Iringa bila kuwepo Simiyuπ
Ebanaeee ππ
Hili tukio lingetokea kwenye miji ya pwani wabaguzi wa dini na ukabila wangesema mengi.
MuhangaHuyu mwamba kwa kuchimba tunnels hana mpinzani. Wasukuma huwa tunamuita naga!
View attachment 2992674
Waha wa Kasulu, Kibondo, Buhigwe, Kakonko mpaka Uvinza.
Lakini kumbuka post yako kule juu ulisema alikuwa anavaa nguo zake taratibu ili kulingishia matiti yake kwenu.
Kwakweli ningekuwa mimi angekoma.
Ningeenda karibu yake nishangae manyonyoπ€£πββοΈπββοΈπββοΈ.
Vitu vizuri lazima uvikazie macho
Ila daa, unaanzaje kushangaa maubile ya mtu wa jinsia yako mkuu?Aahahahahhaaaa looh π€£π€£π€£π€£π€£
Wewe ungeweza fanya hivyo sababu u jinsia ya kiume.
Mimi ni jinsia ya kike, sikuweza fanya hivyo nilikuwa niliishia kupiga chabo tuu...ππππ
Ila daa, unaanzaje kushangaa maubile ya mtu wa jinsia yako mkuu?
Mkuu bado unakutana naye Gym, natamani nije nipate huduma mahali hapo kama ni mji huu ninaoishi ndipo mlipo.Kwani kushangaa kuna jinsia...!!!
Akili huwa inaona kawaida ikiwa mwanamama wa makamo miaka 50+ matiti yake yamedondoka na chuchu kuelekea chini, awe amezaa watoto ama hajazaa. Akili ikiona mwanamama miaka 50+ nyonyo imeanguka kiasi ila chuchu zimeelekea kwa juu hiyo si kawaida na hapo ndo kushangaa huja.
Wanawake tuna asili ya kukagua ndomaana tunanakili nywele zake kaweka ranhi gani, anapaka make up aina gani, nguo yake kashona kwa fundi gani au kanunua dizaina yupi au ameagiza kutoka nje....!
Sijui nimejibu swali au nimejielezea jinsi nilivyokuwa nashangaa....
Well kabila labgu asili yake pia kushangaa shangaa, hatupishani sana na like kabila la washamba nambari uno Tanzania aka Wapush Baby wa Mwanza Bay...π
Wakitokea hapa kunipiga mawe natoka πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ.