Ile meat yenyewe au mi ndo sijaelewa!!
ππππ
ππππ
βοΈβοΈHarakati za mwanadamu katika kutafuta riziki hazina utulivu wala urahisi, zimejaa misongamano na mibanano kwa vile kila mmoja ifikapo asubuhi huamka nakulekea kwenye harakati hizo.
Asubuhi asubuhi yetu ikawe njema hatakama itaambana na usumbufu wa namna moja ama nyingine View attachment 2953404
βοΈβοΈππππ
View attachment 2966707