Jeshi la polisi nchini Uganda linawashikilia watu wawili, mhudumu na mmiliki wa mgahawa mmoja jijini Kampala kwa kile kinachosadikiwa kuuza chakula kilichokutwa na uume wa binadamu
Mpita njia mmoja alikula chakula kilicho changanywa nyama kwenye mgahawa huo, hata hivyo alihisi kama anatafuna uume wa binadamu.
Alipotema chakula hicho aliona dhahiri kiungo cha uzazi cha mvulana.
Jeshi la polisi nchini Uganda limepeleka uume huo kwenye maabala ya mkemia mkuu wa nchi hiyo kupata uthibisho wa kisayansi
Aisee, pole sana.
Kwakweli mambo mazuri yanahitaji pesa za kueleweka.
Acha tubaki na hawa hawa wa kwetu Temeke Sandali, Miburani, Kata 14,Vingunguti nk
Aisee, pole sana.
Kwakweli mambo mazuri yanahitaji pesa za kueleweka.
Acha tubaki na hawa hawa wa kwetu Temeke Sandali, Miburani, Kata 14,Vingunguti nk