Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kuna mda unasoma 'comment' unabaki kucheka tu mwenyewe.
Hili tukio la mwaka juzi, ambapo Dash 8 ya Rw@nda ilichochora nje ya barabara na sababu ya awali ilitajwa kuwa njia kulowa maji.
Akaja mtu kwenye 'comment' akasema "Hapana, imepeleka abiria kuchimba dawa"

[emoji991]
Aviation24.be
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…