Vituko mitandaoni. Tupia chako

Huyu madam juzi ameniomba lift pale bypass around saa sita za usiku
, BT kulikua na Rasharasha mimi na huruma yangu nilisimamisha tulela
, na nikamwambia ingia twende...
Sasa kitu ilinshangaza alikohoa na bass buana
, ikabidi ni confirm Sura mara katha
, kumbe ata makeup ilikua imeanza kutoka ju ya ile manyunyu ya mvua, na Ile kukohoa ni ile kifua yake ilikuq imeingiza baridi
, Mimi nikadhani nimebeba ghost
, ju hata sura nilishindwa kuangalia mara ya pili
.
Sema madam kunipandishia hasira
, nikakumbuka Kisanga flani derefa wangu ashai fanyiwa hapo awali exactly kama hii
, ilibidi nitoe rungu chini ya kiti kwenda kumgonga moja akashika ile rungu basi πŸ₯Ή
, mimi nikajua nimeisha hapa
...
Lakini nilijijaza nikamwekelea dondi moja ya kerimo adi akatoa wig
, kujisugua Kwa kichwa
, na akaniomba banadol zile Mimi huwa natembea nazo
, then madam anaanza kuniambia ati ni prank nimsamehee hii ni prank gani na madam anashika rungu ikiwa ju aii
, nilimwangalia hivi
🫀
, nikaona huyu anakaa innocent sana hivyo ndio jaba iliisha kwa macho buana 🫣
....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…