Hii app ya browser-based ni mtihani. Labda ni kwangu tu lakini picha zikiwekwa moja kwa moja zinakuwa hazionekani vizuri mpaka mtu abonyeze kama anataka ku-download...π
Ukitaka zionekane vizuri wakati wa kuposti ni lazima u-click Insert π
Halafu uchague full image ndiyo upost....
Sijui kama na wengine mna tatizo hili au ni mimi peke yangu...
App ya zamani ilikuwa nzuri mtu unaweka tu picha mara moja badala ya hizi steps zote. Hovyo tu yaani!