[emoji1787][emoji1787][emoji1787]PoleNiliwahi kusema Leo ngoja niweke kwenye charge usiku asubuhi ni kuwasha simu na kuondoka. Ile naondokau Kumbe nilichomeka sikuwasha[emoji23][emoji23]
Nilibaki mdomo wazi siamini kama dakika mbili 😄😄usiombe uwe na safari ya mkoa!