Alitumia nguvu kubwa mno, lakini wapi.....
Mi nadhani alitakiwa kujishusha sana kwa rafiki yake, ila wapambe walimdanganya eti hela zake zinatosha kumshangaza Mkwere.
Nadhani miaka 5 ya mwisho Mkwere alikuwa anamchezea drafti kimya kimya ili kuharibu njia zake.
Siasa za mwaka 2015 zimetuachia funzo