Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hujawahi kuihangaikia πŸ˜πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
Nakataga tamaa mapema sana; na unaweza ukanipa nikaisusa hasa nikigundua kwamba kumbe hauko kama vile nilivyokudhania. Kwangu mimi nikimpenda mtu hata asiponipa ni sawa tu maana huwa nathamini sana urafiki, ushikaji na lile vibe la kwamba huyu ni mshikaji wangu and she cares for me. That type of relationship is more meaningful and priceless!

#Busarazavibabukazi πŸ˜πŸ™Œ
 
Uko vizuri....
 
Uko vizuri....
Sana!

Mpaka miaka 77 hii bila shaka nshaona na kujifunza mengi. Kwa kujifunza zaidi fungua PM au bonyeza 6 kwenye simu yako πŸ˜πŸ˜πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ

➑️➑️➑️ On a serious note vipi yule mgonjwa wako? Anaendeleaje? Natumaini anaelekea kwenye uponyaji sasa. Pole kwa kuuguza aisee πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…