Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kuweni makini sana jamaani kama mnafuga mbwa hawa viumbe mara nyingine wanasahau hata wanaowafuga na kuwapa chakula wanawajeruhi[emoji17]

Iliwalazimu askari wa maliasili kuwaua mbwa wote wawili ndio watoe majeruhi na kuwakimbiza hospitali
Your browser is not able to display this video.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…