Predeterminism ni mada tata sana na pasua kichwa maana inamwondolea binadamu responsibility ya aina yo yote maishani mwake. Kwamba kama uliandikiwa kwenda motoni hata ufanyeje utakwenda tu...likewise mbinguni.
Apologetic mmoja wa kuitwa Ravi Zacharias ndiyo kidogo alitoa hoja ambazo kidogo nilikaribia kuzielewa.