Vituko mitandaoni. Tupia chako

Nina miaka michache huko mbeleni nitaanza kushtakiwa kwa vikesi kama hivi.
Hata sasa tu hekaheka zako za hapa JF si za kitoto. Huko kitaa sijui hali ikoje. Ila kama una pesa hizo kesi utatoboa tu maana mna-settle out of court kama anavyofanya PDiddy labda kama baadhi ya wahusika ni underage. Hapo sasa ni msala tofauti kabisa maana wanaweza wakaku-RKelly 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…