NAKUMBUSHA TU:
Ukizoea kuonea na usipopata mtu wa kuonea, unajiona kama umeonewa. Ukizoea kukandamiza na usipopata mtu wa kukandamiza, unajiona kama umekandamizwa.
[emoji1787][emoji112] ZAMAN ILI TAFSIRIKA WANAWAKE HAWALI SANA ILA NOW UTAKIMBIA WEWE [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1751][emoji174]