Nzenzu JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 858 Reaction score 164 Jan 7, 2013 #41 nyie kwa visa duh
Kifuniko Member Joined May 20, 2011 Posts 97 Reaction score 18 Jan 7, 2013 #42 Mkirua said: Mijanaume ndivyo ilivyo ukishalivulia nguo basi linakuona huna maana tena....lol ...apo mtu kaachwa njia panda. Click to expand... hata samaki ukishamdaka huwezi kumlisha tena chambo itakua ni uchezeaji wa chambo
Mkirua said: Mijanaume ndivyo ilivyo ukishalivulia nguo basi linakuona huna maana tena....lol ...apo mtu kaachwa njia panda. Click to expand... hata samaki ukishamdaka huwezi kumlisha tena chambo itakua ni uchezeaji wa chambo
M Mwanaweja JF-Expert Member Joined Feb 8, 2011 Posts 3,575 Reaction score 528 Jan 7, 2013 #43 ni vijimabo tu ukweli upo ila sikila siku inategemea na kushibana kwenu kulikuwaje
Stamina JF-Expert Member Joined Jul 3, 2012 Posts 1,040 Reaction score 589 Jan 7, 2013 #44 Namba moja isn't true!! ;anayekupenda humpendi, unayempenda hakupendi, kazi ipo mbona?!
lowestein JF-Expert Member Joined Jul 24, 2011 Posts 307 Reaction score 127 Jan 7, 2013 #45 Albedo said: Hapo Namba moja mimi nimeoa kabisa Click to expand... Vipi wale walio oa tayari washapitia no. 1
Albedo said: Hapo Namba moja mimi nimeoa kabisa Click to expand... Vipi wale walio oa tayari washapitia no. 1
Akili Unazo! JF-Expert Member Joined Feb 18, 2009 Posts 3,930 Reaction score 4,934 Jan 7, 2013 #46 charminglady said: hapo namba 3 pananihusu sana! Click to expand... ulitaka mwenyewe charmingirl
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 37,959 Jan 7, 2013 #47 Wakitongozwa wanalalamika kwa vile wametongozwa na wasio wa class yao, wasipotongozwa wanajiuliza aina ya mikosi walioyonayo
Wakitongozwa wanalalamika kwa vile wametongozwa na wasio wa class yao, wasipotongozwa wanajiuliza aina ya mikosi walioyonayo
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,430 Jan 8, 2013 Thread starter #48 Osaka said: Umebobea ktk thread za mapenzi Bujibuji. Big up! Click to expand... Mapenzi yana run dunia, ila waganga wana yaharibu. Leo wana limbwata kesho wana dawa ya kuongeza mvuto wa mapenzi
Osaka said: Umebobea ktk thread za mapenzi Bujibuji. Big up! Click to expand... Mapenzi yana run dunia, ila waganga wana yaharibu. Leo wana limbwata kesho wana dawa ya kuongeza mvuto wa mapenzi