Vituko kombe la dunia (2014)

Vituko kombe la dunia (2014)

Labda hujui maana ya lugha.Au labda unafikiri lugha ni lazima iwe ile unayoifahamu wewe.Au labda hujui kuwa si kila lugha ni rasmi.

Urasmi wa lugha unakujaje hapa..kinachogomba hapa ni hayo maandishi labda we mwezangu ungeandika hivyo pia na kusema sio lugha rasmi.?utakua umepitiwa.
 
wakoseaji kama hawa ni wakali kweli unapowaambia kuwa hapo ilipaswa pawe hivi.Uswazi kweli raha kila mmoja anajua kuwa anajua kumbe hajui kuwa hajui
 
Back
Top Bottom