L Luthar JF-Expert Member Joined Jul 29, 2011 Posts 519 Reaction score 105 Sep 15, 2011 #1 Kuna mwenda wazimu mmoja alipita kwa spid ya ajabu akiwa uchi porini wale wanyama wote wakala kona fisi akamfuata simba akamwambia vp wewe si mfalme wa pori simba akamjibu namshangaa huyu mmyama mpya.mwenye mkia kwa mbele.
Kuna mwenda wazimu mmoja alipita kwa spid ya ajabu akiwa uchi porini wale wanyama wote wakala kona fisi akamfuata simba akamwambia vp wewe si mfalme wa pori simba akamjibu namshangaa huyu mmyama mpya.mwenye mkia kwa mbele.
OTIS JF-Expert Member Joined Sep 7, 2011 Posts 2,252 Reaction score 839 Sep 15, 2011 #2 sawa sawa.........................
Jeji JF-Expert Member Joined Jun 28, 2011 Posts 1,973 Reaction score 372 Sep 16, 2011 #4 teh teh teh, kumbe mzee wa nyika simba nae muoga.