Vituko Compilation : Tupia na vyako

hapa ukikutwa na mke unachombeza utasema nilikuwa naomba kupunguziwa bei
 
mwisho wa mwezi, lazima usindikizwe.

Ila hawa madem kama wanakudai vile
 
ukienda fild training utapata training
 
Basi usiwe unatoa siri zetu kwa watu. Mikware ikija kukubaka utanipeleka Segerea mchana kweupe.

Sipendi kushea na mtu kitumbua chako. Nna wivu mpaka kwa vidole vyako wakati ukijiswafi....
du hatar
 
Basi usiwe unatoa siri zetu kwa watu. Mikware ikija kukubaka utanipeleka Segerea mchana kweupe.

Sipendi kushea na mtu kitumbua chako. Nna wivu mpaka kwa vidole vyako wakati ukijiswafi....

Babuu nimeachaa sirudii tenaa.... my lips are closed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…