Vituko Compilation : Tupia na vyako


Make up don't lie hehehehehee ......
Kitu cha iPhone 6. ... anachat na bae. .....

Ila huyo make up artist wao anatakiwa kushtakiwa looh.... au ndo zombie style make up...... khaaa. .....
Thank God I love the way I am and no additions on my skin than olive oil.
 
Thumb up kwako.

Tena hapo kama ndo wats ap anatuma voice note kajilegeza unasema mchuch si ndo huyu.....

First date anakuja hivi
hurudiiiii
 
ila watu wananunua aisee

Ni kweli maana kila nguo anazovaa hadi zinamruka hazichaniki wakati wale wanaovaa nguo hadi zinachanika ni kuwa hawana cash ya kununulia nguo mpya.

Life is not fair always.......
 
Ni kweli maana kila nguo anazovaa hadi zinamruka hazichaniki wakati wale wanaovaa nguo hadi zinachanika ni kuwa hawana cash ya kununulia nguo mpya.

Life is not fair always.......


" life iz game bt haipo fair

Ukivaaa wew unachekwa akivaa msaniii ni swaga
 
Hayo madodo yatakuwa matamuuu hata yakiwa hayajaiva yakiliwa na chumvi ni matamu munooo.
Chumvi haitoshi bado itakuwa na ugwadu n ukakasi.

Huwezi kula sana
 
ushirikiano muhimu. Haya tusukume gari ya mwenyekiti

Nilijua gari la kichawi limekwama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…