Vitu vya Tanzania ambavyo wakenya wanasema ni vyao

Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,808
16,874
Oneni aibu basi watani zetu.

Nchini Kenya wamtaja Staa wa Filamu Bongo, Gabbo kuwa ni mkenya.
C2na-rFXcAEBOjJ.jpg
 
Hahaha !!
Annael hili sio kwakenys pekee kwa sasa
Japo wakenya wanaongoza kwa kufanya ujinga huu!!

Mwaka jana Congo nako wakachukua picha ya mji wa Dar
Wakasema nikwao!!!

de21a5f3b38c43653a53c43071b45d4a.jpg
87722e0273cecc9e5c8365c389d1dab6.jpg

Huwa nashangaa sana
Hivi una anzaje kutangaza kitu cha jirani yako kuwa ni chako!!?

Sijawahi kuona mtanzania kasema kitu/Mtu toka kenya
Ni cha/wa Tanzania!!
Kwanini kenya !!!

Mrisho mpoto Mkenya!!
Vanessa mdee Mkenya!!
Olduvai Kenya!!
Navy Kenzo Wakenya!!
Diamond Mkenya!!
Kilimanjaro Kenya!!
Kigamboni Bridge Kenya!!
Nk
 
Na kuua,kula Na sasa kufukua taiti za albino ni vipi. MLa albino unaleta ligi za kipuzi!
Wacha kuanzisha ugomvi usio kuwepo
Mada unaiona unakimbilia mada za kijinga wewe!!
Kama ni kufukua Maiti
Waulize hawa
Maiti zafukuliwa, na baadhi yazo vichwa kunyofolewa, Trans Nzoia

Wenyeji wa kijiji cha meso eneo bunge la Kiminini kaunti ya Trans Nzoia wameachwa vinywa wazi, baada ya watu wasiojulikana kufukua maiti tatu huku wakinyofoa kichwa cha mojawapo wa maiti hizo.
 
mada gani sina wakati na ligi za kiupuzi!! unyama na kukosa adabu ndio zenu!!!
Emmanuel%20Festo.jpg
 
If it's not for Kenya, the Tz celebs wldnt even rise to the stature many enjoy now, nor would your geographical features be reknowned worldwide. Tz is known out there bcos of Kenya.
You are basking in our shadows. Genuflect for your masters here.
 
Who is helping who, Tanzanian artist are conquering the world without Kenyan help. In fact, Kenya didn't even know what was going on in Tanzanian art space. Even in Kenya, artist have complained so many time that Kenya media is not supporting them or even recognised there work. So what you said doesn't hold water.
 
Mwanzi1, it is the Kenyans that are consuming the Tanzanian music the most in this region, whilst neglecting their own claiming low-quality standards. They are lionized here more than at home. So, it's Kenyans that have placed them on that pedestal.
 
Back
Top Bottom