SOLD: Vitu vya ndani vinauzwa vyote

Status
Not open for further replies.
Kanifurahisha mdau kauliza hivi vyombo ndio 120k au kuna vingine....au jiko ndio bei kubwa kanifanya nikathaminishe kila chombo 🀣🀣🀣🀣🀣. JF ukinuna umejitakia
Yaan, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
ndo maana nikasema kwa bei zote hizo zinapungua..kuna maongezi..nafikiri hiuo sentensi inaeleweka...anaesema bei kubwa..aseme yeye bei yake ngapi? nafikiri hii ni common sense tu kila mtu anatakiwa kuwa nayo
 
Washing machine ungeuza elfu 90 hadi laki 1. Mpya siku hizi hadi za 300 zipo
 
Kanifurahisha mdau kauliza hivi vyombo ndio 120k au kuna vingine....au jiko ndio bei kubwa kanifanya nikathaminishe kila chombo 🀣🀣🀣🀣🀣. JF ukinuna umejitakia
Bei imekuja kama ngapi hivi?
 
Nichukulie washing machine hiyo nimechoka kufua nguo za mwanao kila siku nipunguzie kazi

Mpya tsh ngapi? Achana na huyu jamaa hakuna machine hapo. Mtu mwenyewe ana kitanda cha blue kina ming'ao kama yote hawezi kuwa na bidhaa ya maana hapo.
 
Nikurahisishie ili upate mteje teja haswa

Sofa zote ..........70000
Kiti.......5000
Zuria .....23000
Mashine....120000
Vyombo BURE
Jiko 35000
Kitanda 70000
Fridge 125000
 
Mpya tsh ngapi? Achana na huyu jamaa hakuna machine hapo. Mtu mwenyewe ana kitanda cha blue kina ming'ao kama yote hawezi kuwa na bidhaa ya maana hapo.
🀣🀣🀣🀣🀣 kitanda kimekukosea nini kwani...... washing mashine nzuri mpya Samsung au LG nzuri laki 9 πŸšΆβ€β™€οΈπŸšΆβ€β™€οΈπŸšΆβ€β™€οΈπŸšΆβ€β™€οΈπŸšΆβ€β™€οΈπŸšΆβ€β™€οΈ
 
Mlioandika kukejeli muwe na fikra zenu kufungua mjibadili na kwa kupita ya watu humu mengine kimya kimya, sio kila uzi muandike tu.. hamuwogopi ya maisha!!!

Maisha lazima yawe mnavyotaka ya kila mtu?

Mnatia aibu.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…