Vitu vitatu muhimu katika ndoa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,048
Reaction score
61,370
Kila sehemu katika ulimwengu mambo utayarudia kuyafanya Mara kwa Mara ili Kuenda sawa na eneo husika.ukienda against sheria Zake utapata mabaya.na katika maisha ya ndoa kuna vitu vitatu au zaid ambavyo wana ndoa wanatakiwa kuvitumia mara nying vitu hivyo ni upendo, msamaha, asante,kwaheri, na kumwomba sana MUNGU katika ndoa.
 
Yaani mke wangu agongwe alafu aniambie samahani nami yaishie hapo hapo kisa kasema samahani? NEVER!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…