Nina vikuku vya kienyeji pale kwangu, kama 5 tu ila shughuri yake ni pevu, nimevifuga kujikimu chakula, yaani vinavyosumbua, ukijisahau tu chakula vishakula, mara vimejisaidia, yaani unaweza kulia. Jana nikajikuta natafakari mengi na kugundua vitu vitamu vingi vinasumbua sana, hebu muangalieni nguruwe, ukijisahau tu hata mtoto anakula, hebu waangalieni wanawake jamani, wanasumbua ila utamu wake unatisha.
wanasumbua mkuu, maana wamekuwa pesa mbele, sasa ili upate hiyo pesa ya kumpa si inabidi utaabike kwa kubeba zege.
wewe ukitaka kumpata unampata kirahisi?
asilimia zaidi ya 90.
unatumia mbinu gani mkuu? ila hiyo avatar yako!
kama wanawake wanasumbua we nenda soko la kariakoo kabandike tangazo kwamba unatafuta mchumba, weka na namba zako uone mziki wake