Vitu vingine vinatishatisha

Hilo lipo safe sana kwani lina ballance kubwa kwenye maji ( rejea laws of flotations) na likipata dhoruba ni rahisi sana watu kujiokoa kwani lipo wazi
 
Kwa kukitazama tu hicho kivuko panaonekana hapo hapana kina kirefu sana na ni rahisi kujiokoa kama kutatokea taflani maana ng'ambo ni karibu. Ila wasizidishe mzigo.
 
Acha uwoga!, hata mimi nisiyejua kuogelea sizami hapo!.
 
nyio mnaosema niache uoga ndio mnakuwa wa kwanza kujinyea injini za kivuko zikizima ghafla
 
Mbona kama kivuko (bridge) cha jeshi hicho?
Ni salama sana hata tanks zinapita hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…