Vitu vinavyoongeza thamani kwenye mahusiano

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,612
Reaction score
65,066
Kuna vitu vingi katika maisha ya uhusiano, uongeza thamani ya mahusiano. Kutokana na kutokujua vitu hivyo, unakuta watu wengi wanakuwa na migogoro isiyokuwa ya lazima katika mahusiano yao.

Mfano, kunyoa kipara kwenye ikulu; hii upoteza mvuto na hamasa katika mahusiano, na kupunguza ushawishi wa kumtamani mwenzako. Kinachotakiwa ni kunyoa saizi ya kuchana kwa brashi, hii itaongeza mvuto na hamasa kwa mpenzi wako, pamoja na kuimarisha mahusiano yako.

Kunuka midomo; hii pia huathiri kwa asilimia kubwa katika mahusiano, unaweza ukawa unamuomba mwenzako gemu, ukajikuta mara kwa mara unapigwa dana dana kutokana na kunuka mdomo. Kama una hilo tatizo, ni bora uswaki kwanza kabla ya kukutana na mwenzako. Na kama ni tatizo la kihospitali, jitahidi kulitafutia suluhisho.

Unaweza kuongezea na vitu vingine....
 
1. The desire for sexual expression is by far the strongest and most impelling of all the human emotions, and for this very reason this desire, when harnessed and transmuted into action, other than that of physical expression, may raise one to the status of a genius.

2. The lives of many men reflect a continued dissipation of energies, which could have been more profitably turned into better channels.

3. Their finer and more powerful emotions are sown wildly to the four winds—through overindulgence in physical expression of the emotion of sex.

4. The majority of men NEVER learn that the urge of sex has other possibilities, which far transcend in importance that of mere physical expression.

5. Sex energy must be transmuted from desire for physical contact, into some other form of desire and action, before it will lift one to the status of a genius.
 
Wataalamu wanasema, kutumia lugha ngeni ni njia ya kuonyesha msisitizo
 
Back
Top Bottom