Vitu vifuatavyo vinauzwa.

mkurya org.

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2014
Posts
1,571
Reaction score
1,697
Habarini wakuu nauza vitu vya ndani kama ifuatavyo,,,,

Sumsung tv inch 24.
Bei yake ni 300,000 Tsh.

Fridge aina ya MENGCHI
bei yake ni 220,000 Tsh.

Kabati la nguo milango mitatu lenye dressing table
Bei yake ni 180,000 Tsh.

Sofa ya watu wawili.
Bei yake ni 100,000 Tsh.

Redio spika tatu pamoja na meza yake.
Bei yake ni 130,000 Tsh.

Rice cooker kampuni ya Kenwood.
Bei yake ni 50,000 Tsh

Mtungi wa gesi MIHAN Gas
Bei yake 40000 Tsh.

King'amuzi cha DSTV pamoja na Dish lake yani full set 60000 Tsh.

Na vitu vingine ambavyo sijapiga picha ni blender aina ya ZEC yenye kioo kwa 45,000 Tsh,Godoro 5×6 bei yake ni 60,000Tsh na pasi pia ipo kwa 20000Tsh.
Picha zote tazama hapa chini.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116].
 
Ungeeleza uko wapi pia ingesaidia
 
Picha ya blender hii hapa
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
naona kama bei kubwa mfano; kabati jipya 190,000/= na dstv 69,000/=
 
Tunaweza kufanya biashara ya king'amuzi cha dstv bila dish
 
mm nahitaji hiyo rice cooker 0768210990
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…