Vitu unavyotakiwa kufahamu ili uwe front end developer mzuri

Kama unamaanisha kuwa mtaalamu wa front-end upande wa database hakuna kitu kama hicho wala sikuwai kukisikia labda wakuu humu watakuelewa
Au unamaanisha back-end?

Sent using Jamii Forums mobile app
database kama database ina sehemu mbili
1. front end
hapa ina interact na user kuweza kuingiza data kwenye database! so ndio unatakiwa kutumia language zipi ili uweze kuconnect na database yako
2.back end
hii ndio sehemu ambayo technician anapafanyiA kazi kuandikia code zake.

Elewa hapa

Front-end ni ui/ux au user experience /interface unapo ui/ux kupokea data kutoka kwa user unatakiwa utambue kitu kianaitwa form hii ni html elements
inasaidia kuchukua data zilizoingizwa kwenye field then tunahama tunakuja back-end hii sio ui /ux hii ni part inayo chukua data hizo ulizoingiza na kuziifadhi kwenye database
Back-end ni server side inategemea scripting language kama php na Nyingine nyingi pamoja na query language kama sql so unaitaji php na sql au Ruby pia waweza tumia but sikushauri utumie Ruby na wakati kuna php Tumia hiyo pamoja na sql kuhusu framework ukiwiva kwenye lugha hiyo Soma laravel ni simple but hard Inategemea na brain yako un
Umaelewa ? Au sijakupata mkubwa

ok sawa nimekuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna template ambazo zinakuaga za kununua sasa ikitokea mtu kanunua then we ukacopy kama ilivyo ukaedit maandishi tu ukaweka yako then ukanunua domain site yako ikaruka hewani je, wale jamaa waliodesign hiyo template watakupataje na wakikupata hathari zake nizipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jinsi gani nawezakuhost website kwa gharama nafuu au kupata domain ya .com au .co. tz?
 
Back
Top Bottom