Vitu muhimu kwa mwanamke

Vitu muhimu kwa mwanamke

Ukiweza kutimiza vitu hivi vyote kwa mwanamke; we kila siku kwako itakuwa ni sikukuu, hakuna kunyimwa tendo, muda wote ni 'wet season'
  • Kula
  • Kuvaa
  • Makazi
  • Usafiri
  • Kusimamia shoo vizuri
Kazi kwenu wakuu
Jidanganye. Hawa viumbe kama hawakutaki hata uwape kadi ya benki mshahara wako awe Ana withdraw yeye lakini bado hawa shukuru. Utasikia baby pesa imeisha nisaidie elfu 30
 
Itakubidi utumie vizuri, bakora ya kiume kumtuliza
 
Vyote ivyo unaweza mpa lakin kutombewa nje kupo pale pale cha msingi ishi nae kwa akili tu
 
Iweke sawa kuwa huo ni mtizamo wako binafsi na sio alfa na omega kwa hawa viumbe.
Mtizamo wangu ni kuwa hata uwape roho yako hawawezi kuridhika.
 
ina maana huna kazi zingine zaidi ya kumridhisha mwanamke??!!!

yeye anakufanyia nini cha maana hata ujitoe kwa vyote hivyo??!!

ni ulafa tuu huo kupatiliza mtu ambae mungu alichompa hajaridhika nacho hadi anyoe nyusi kisha apake wanja,a yumkini kukoboa rangi ya mwili na kuondoa ile mungu aliempa!

eti wee ndio uje kumridhisha..kalagabagho
 
😂😂😂 anayeanza kumtamani mwenzake, huwa ni mwanamke au mwanaume?
 
ina maana huna kazi zingine zaidi ya kumridhisha mwanamke??!!!

yeye anakufanyia nini cha maana hata ujitoe kwa vyote hivyo??!!

ni ulafa tuu huo kupatiliza mtu ambae mungu alichompa hajaridhika nacho hadi anyoe nyusi kisha apake wanja,a yumkini kukoboa rangi ya mwili na kuondoa ile mungu aliempa!

eti wee ndio uje kumridhisha..kalagabagho

Busara sana...

Hakuna la maana watapata kwa kufanya hayo yote... ni Ubatili mtupu na kujilisha upepo
 
Back
Top Bottom