Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,192
- 3,353
Mtoto wa kiume hautakiwi kujibanabana kama unataka kujamba, hata mbele ya demu wako jamba tu.
we umenivunja mbavu acha tu ha ha aha haha
Mtoto wa kiume hautakiwi kujibanabana kama unataka kujamba, hata mbele ya demu wako jamba tu.
Duh kweli aisee. Mwanaume unaanzaje kumtumia mwanaume mwenzio eti "gd9t"wapo wengi tu wanafanya...unakuta shkaji linakutumia usiku usiku meseji gd9t ,,upunga huu
Anapumua sio?Mtoto wa kiume hajambi wewe
hahahahah huu ucoomer lakini!Mtoto wa kiume hautakiwi kujibanabana kama unataka kujamba, hata mbele ya demu wako jamba tu.
Hilo nalikubaliwe umenivunja mbavu acha tu ha ha aha haha
Yapo hayoKujilamba mdomo wakati wa kuongea
Kuvaa hereni! !
Kujichubua!!
Kujipendekeza kwa wanaume wenzio kisa tu anapesa au maarufu! !
Kuazima nguo! !
Kujikuna kichwani na kidole cha kati! !
Izo nyama tu ata kwenye sambusa zipo..Jamaa kajaza mbaya bonge baunsa,anakuletea soo!
Mtoto wa kiume hapo ukimbie au mtandikane?
Mwanaume hazimii wewe....ukizidiwa ng'ata ili "ku-neutralize" game.mtoto wa kiume akimbii ngumi ukiona kichapo kimekuzidia bora ujifanye umezimia...
Kama beberu vile ama vpMtoto wa kiume hutakiwi kunukia nukia, mwanaume nuka mavi mavi.
mtoto wakiume hafai kutoa mada kama hizi kuhusu wanaume wenzake labda awe shoga,ni mwanamke tu ndio anajua mwanaume kamili,1. Ata uone kitu kimekaa poa niaje hutakiwi kusema," Awww, that's soo cute.Huo ni ushoga mtu wangu.
2. Haufai kusema aya maneno kuonyesha umeshtuka," Gosh, Akaah,
ama OMG'
3. Ukiomba kitu hufai kusema," Jamaaaniiiii au pliizzzz '
4. Ukitext please usitumie," Xo' 'Xema' 'Xaxa' 'Pouwar' ama 'Xwirry'
5. Kummendea demu/mke wa rafiki yako, shemeji shemeji kibao ..shauri yako utakojoa dagaa .
6. Hufai kuongea kuhusu washikaji wengine ukiwa na madem. Huo ni umbea mwanangu.
7.Rangi ya pink usiitumie sana kwenye vitu vyako ata kama unaipenda sana.
8. Dem akikukataa chapa lapa kiroho safi na sio eti uanze kudanganya masela ooh yule mi nishammega.
9. Usiongeeongee eti unaeza kumpiga mtu flani. Huo ni utoto, kama vp nenda kampige tuone.!
10. Usiwe mtu wa kununa ovyo ovyo, alafu kuhusu vitu vidogo vidogo, mfano; msela kachelewa kujibu msg yako..basi unanuna siku nzima unamnunia nani !
11. Kuchek tamthiliya tena na madem alafu mnaanza kuhadithiana ilivyokuwa.! sijui Aliando vile mara MariaClara hivi
[HASHTAG]#Ongezea[/HASHTAG] zingine.
Umeuaaaaaamtoto wakiume hafai kutoa mada kama hizi kuhusu wanaume wenzake labda awe shoga,ni mwanamke tu ndio anajua mwanaume kamili,
Wanaume wa pwani na dar mnapenda sana taarabuu kumbeDooh. Basi kama ni ivyo mbona wanaume wote watakuwa ovyo. Ila mimi piga ua napenda sana taarabu na hasa nyimbo za mzee yusuph. Ila ni mwanaume rijali. Asikwambie mtu taarab raha na hasa kama umekulia mikoa ya pwan kama dar.
Hyo ya pili kweli aisee haruc moja hivi nilikwenda bwana haruc huo mwenso wake yaani shoga huyu hapa.sikupendaMtoto wa kiume hutakiwi kua umejinenepea hovyo,umejazia sehem zote kama kiroba
mtoto wa kiume hutakiwi kutembea umelegea legea kama msichana,tembea kikakamavu