nyamva
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 244
- 155
Jana wakati wa mshikemshike viwanjanI pale AZAM TV watangazaji walianza kutoa statistic hasi za Mussa Mgosi wa simba ilifikia mpaka wakalinganisha Uwezo wake wa kufunga kwamba ni sawa na Uwezo wa Dida wa Yanga.
Hii ni kutokana na idadi ya magoli yao msimu huu.
Kero yangu ni namna watangazaji hawa walivyoonekana kumdhihaki mchezaji huyu kuwa hana kitu na mafanikio pekee aliyoyapata ni Uwezo wa kuzunguka Mara mbilimbili vilabu alivyocheza.
Hivi ni kweli Mgosi hana kingine cha kumzungumzia bila huu upupu kuwekwa mezani ?! NAWASILISHA