kaka MARANGU YA SASA imebadilika sana haswa kwetu huku lLYASONGORO cab zetu huku ni TAX kama unabisha njoo ujionee Mr Rocky
Bata ha ha ha anavyopenda kujiachia!!Umesahau mikungu ya ndizi shost!!hilo gari ndo unakuta abiria wamebeba hadi kuku,bata...
mbembeni wana mahindi ya kuchoma na maembe
Kama sio Leyland CD!!!!!!
Mlimani wanaume na wanawake vijana mnashuka maana haliwezi panda na mzigo mzito
karibu kijijin sk moja.. gar hyo kitonga mtt inapanda tena xaf tuh
Mkuu wa dabaga ninikuna kitu inaitwa 'vitu laini' ipo iringa.ukiiona ni full burudani.next tym nitawawekea picha yake.
kuna basi kama hilo lilikuwa linatoka songea kwenda tunduru hadi masasi.