Meshacky Allyson
Senior Member
- Oct 29, 2020
- 126
- 250
OP utayari wako unamaanisha nini?Binafsi kitu cha kwanza ninachopenda kukitazama kabla sijaingia kwenye mahusiano ni UTAYARI WANGU..
How about you...??
Nini unapenda kuzingatia kabla hujazama humo..
Uzi nawasilisha
Nilikuwa na mtu akinikuta naangalia tamthilia ananuuna eti anauliza sinaga vitu vingine vya kufanyaOP utayari wako unamaanisha nini?
Kwamba kuna wakati unakuwa hauingii kwenye mahusiano kwa sababu haupo tayari kuwa kwa relationship?
Hata kama ukimpata mtu sahihi kwasababu haupo tayari unaacha aende?
Kuhusu mimi, Nilizingatia haya, sisi ni marafiki na ninahisi kuwa comfortable around him. Tunashare baadhi ya hobbies hata kama sio zote lakini hata kama sio hobby yake ni yangu isiwe yeye inamchukiza (mfano kama napenda kuimba na sio hobby yake, basi ibaki kwamba sio hobby yake lakini sio jambo analolichukia). Hii itafanya ani-support au mimi nim-support na tuwe na maelewano mazuri.
Hivyo tu vinatosha.
You dodged a bullet Hannah.Nilikuwa na mtu akinikuta naangalia tamthilia ananuuna eti anauliza sinaga vitu vingine vya kufanya. Mara kaniandalie hiki mara hiki hata kama havina ulazima muda huo, mara weka taarifa ya habari. Tuliachana ila hiyo haikuwa sababu.
Panchito wangu ndio kwaaaanza ananiambia nihadithie basi na yeye akiangalia mpira naangalia nae nakuwa timu pinzani. Sio unapata jitu linachukia kila unchopenda.
Nilikuwa na mtu akinikuta naangalia tamthilia ananuuna eti anauliza sinaga vitu vingine vya kufanya. Mara kaniandalie hiki mara hiki hata kama havina ulazima muda huo, mara weka taarifa ya habari. Tuliachana ila hiyo haikuwa sababu.
Panchito wangu ndio kwaaaanza ananiambia nihadithie basi na yeye akiangalia mpira naangalia nae nakuwa timu pinzani. Sio unapata jitu linachukia kila unchopenda.
Kitu ambacho najivunia katika maisha yangu ni kuwafanya vipenzi wangu wapende ninacho kipenda,hiki huwa namshukuru sana Mola muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo.Nilikuwa na mtu akinikuta naangalia tamthilia ananuuna eti anauliza sinaga vitu vingine vya kufanya. Mara kaniandalie hiki mara hiki hata kama havina ulazima muda huo, mara weka taarifa ya habari. Tuliachana ila hiyo haikuwa sababu.
Panchito wangu ndio kwaaaanza ananiambia nihadithie basi na yeye akiangalia mpira naangalia nae nakuwa timu pinzani. Sio unapata jitu linachukia kila unchopenda.
Mywangu hebu nihadithie ile tamthilia ya Jana dearNilikuwa na mtu akinikuta naangalia tamthilia ananuuna eti anauliza sinaga vitu vingine vya kufanya. Mara kaniandalie hiki mara hiki hata kama havina ulazima muda huo, mara weka taarifa ya habari. Tuliachana ila hiyo haikuwa sababu.
Panchito wangu ndio kwaaaanza ananiambia nihadithie basi na yeye akiangalia mpira naangalia nae nakuwa timu pinzani. Sio unapata jitu linachukia kila unchopenda.