Vitu ambavyo vingefanyika kama Mungu angekuwepo kweli

Unaona upumbavu wako. Yaani wewe unaaminishwa ukifa ndo utamuona. Hivi inakuingia akilini kweli hiyo? Yaani hata hushtuki? Jamani Hebu fungukeni japo kidogo. Hata kujiuliza swali dogo tu. Kuwa kama huyu mungu yupo na yeye ndo aliumba kila kitu, kwanini kumuona mpaka ufe? Kwaakili zako unaamini ukifa, basi ubongo wako utaendelea kufanya kazi

KUBISHANA NA IMANI MKUU UTAUMIA JUST LIVE WITH WHAT U BELIEVE USITUFANYE TUWE MLANGO WAKO WOTE JIPIME NA SI KILA KITU NI KUBISHANA
 
Kidunia na kwa knowledge ya kawaida umejitahidi kudadafua lakini kiuhalisia bado kuna mambo mengi sana yanayoonesha na kuprove uwepo wa Mungu hujayagusia, Jaribu kutuliza akili yako wewe binafsi na kufikiria deeply utagundua ndani yako kuna hofu na hiyo hofu si ya kitu kingine chochote bali ni hofu ya mungu. Hii ndio sababu hata watenda maovu huomba mungu hata pasipo kujitambua kama wanayemuomba hakubaliani na wanachotaka kufanya/wanachofanya. Kwa mfano mwanafunzi anapotoroka shule huweza kusema "Ee Mungu nisaidie nisikamatwe!" au jambazi kusema "Mungu wangu nisaidie nifanikishe salama!" Hii huja automatically na nikutokana na uwezo na nguvu za Mungu ambazo ziko ndani ya kila mwanadamu coz sote tu mfano we!
 
Religion is the root cause of all problems on earth: why? This because religion was a white mans way of controling Africans. There are several methods used as HUMAN MIND CONTROL: 1.religion 2. Fear 3. Brain wash. Religion combines fear and brain wash to control Africans. There is fear of eternal fire and pple are brain washed not to think more for there selves or questions the validity of the, un realistic theories given by the bible and quaran. Each religion value its god as the most powerful than the other and this is great cause of worldwide conflicts eg terrorism. African had their own way of worship and life even b4 the white man brought his bible and quaran theory books. Its there fore so bad and unrealistic for black man to have abandoned all his religion to follow white mans religion, yet white man carried a gun on the right hand while a bible and quaran on left hand ukikosa kumbali unakuwa mtumwa ama unauliwa. So anything in this books should be questionable since no prove but just mere theories. There may be god but not the bible and quaran god. Wake up black pple!
 
INDI NI NCHI INAYO ONGOZA KWA KUA NA MIUNGU WENGI MPKA MTU MWEUSI ..NGOMBE...MTO GANG...NK HAO NAO TUWAWEKE FUNGU GANI WANAOMBA NA KUFANIKIWA KWA STYLE ZAO HIZO
 
Heri hao wanao habudu miungu yao ya kutoka zama za kale kuliko waafrika walio acha imani yao kufuata imani za kizungu. Nimeishi kuwa mkiristo more than 20 yrs but nishaa fanya research nikajua dini mingi ni upuzi .usifuate penye ulipata wazazi wako wakifanya ukifika 18years una Uhuru Wa kufikiria out side the normal .
 
Heri hao wanao habudu miungu yao ya kutoka zama za kale kuliko waafrika walio acha imani yao kufuata imani za kizungu. Nimeishi kuwa mkiristo more than 20 yrs but nishaa fanya research nikajua dini mingi ni upuzi .usifuate penye ulipata wazazi wako wakifanya ukifika 18years una Uhuru Wa kufikiria out side the normal .
samahani mkuu mimi ningependa kujua wew dini yako ya sasa ni ipi baaada ya kuona hizo dini ni upuuzi?
 
Ukimkosea Mungu na ukapata ukumbuso wake Ndio Utajua uwepo wake.

Walimu wanasema: wala usimuonee choyo mtu ambae hapati Na mitihani katika maisha kwakua huyo huwa yuko mbali sana Na Mungu wake.
Sasa hii Ni dalili ya huyu mleta mada anaonekana yuko mbali sana Na Mungu. Huyu Leo anaweza akasema chochote bila ya Hofu wala fikra.
 
No. 7 imekaa vizuri sana hata Mimi linanifikirisha sana suala hili.Pengine huwa najiuliza hivi huyu Mungu wetu kwanini ni katili na mpenda makuu kiasi hiki? Mimi binafsi mtu akinisifu na kunitukuza kwa Siku Tatu tu nitamtunuku Certificate of Appreciation.

Pamoja na mahangaiko na mateso ambayo automatically ukizaliwa unakutana nayo, bado vitabu vitakatifu vinasema kuna Adhabu ya moto wa milele, wakati huo huo ukitafakari kwa kina HAKUNA DHAMBI duniani yenye uzito wa kuchomwa moto milele. Namaanisha Masaa 24 wewe unaunguzwa...milele yani hakuna pause wala break time.
 
Back
Top Bottom