maridady
Member
- May 10, 2016
- 92
- 93
Siamini dini yoyote ila naamini kutenda wema kwa binadamu mwezako ndio cha maana, usimtendee mwezako jambo ambalo wewe usingetaka kutendewa. Naamini mungu yuko lakini sio uyo mungu Wa mtu mweupe.samahani mkuu mimi ningependa kujua wew dini yako ya sasa ni ipi usiaada ya kuona hizo dini ni upuuzi?