Vitu ambavyo sipendi

Sa kwanini unatokua na mtu usiempenda??? mpaka unakubali kutoka nae out mamito kwanini???
Hata kutembea nae tu si unatamani kujificha?? best yanini yote hayo ???
Fanya kitu moyo umeeridhia na raha jipe mwenyewe nayule umpendae Jovitha

Cc Smart911
 
sipendi tafadhari nipigie sipendi pliz recharge me sipendi bby nikwambie kitu sipendi vibomu napenda papuchi jaman wachawee
 
U sure my Dada?
 
Aisee hamna kitu sikipendi kama mtu anayenifatilia fatilia maisha yangu binafsi huku JF.

Nje ya JF vipo vingi mno aseeh, siwezi kuvimaliza hapa
[emoji23] [emoji23] waaambie waambie waache tabia zao mby
 
-Wanaume wambea wambea wanaofatilia yasiyowahusu siwapendi kweli

-wavurugaji mahusiano ya watu yelewiiii

- Wanaojifanya wajuaji ndo hovyooo kabisa yani wanachefua

- Wanaotafuta kiki kwa baiskel ou mmama

All in all
Live your life

Cc Smart911
 
Mie vyote kama ulikuepo kwenye akili yangu haswa sim jamani sipendi mtu mmechat watsap mshamalizana then linakupigia watsap call ili iweje yani hamna kitu kinanipa hasira kama icho loh

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Bora hata wasap call,lingine linapiga video call kabisa aisee moja nililiblock
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…