Vitu ambavyo sipendi

kuhusu la 8 tunaweza kuongea pembeni ??
 
Siku zote nikajidanganya eti wewe bado bikra... khaaa!
 
Hahaha limtu linakutambulisha kila sehemu wqkati we unafanya siri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mbona unaonekana ni kungwi kabisa?

aya njoo pm chap
 
Sipendi kugegeda mademu wanaonuka K

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
me sipendi tabia yako ya kusema hupendi vitu unavyovipenda
 

kuna siku moja chuoni nilivokuwa namtongoza demu, nilianza kumshika bega la kulia huku nikitazama macho yake kwa makini, nikaona "kisirisiri" ameyakunja macho kama vile amekereka (hakutaka mm nijue), nkaona hapa mmh hamna kitu, nikamwaga sera zangu anayway, akaniambia ana boyfriend so hawezi ku-date na watu 2 at same the time (kiukweli bf anae na huwa wanatembea wote in public)

Ila yote hiyo ilikuwa ni excuse tu, UKWELI NI KWAMBA ALIKUWA HAJAVUTIWA NA MIMI ila alijaribu ku-sugarcoat her reply Jovitha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…