Vitu ambavyo sijawahi kusikia watetezi Wa haki za WANAWAKE wakivizungumzia kwa ujasiri

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
3,763
5,591
1:Maelfu ya wamama na wadada wanaouza miili yao mitaani na mitandaoni.

2wadada, wamama na mabibi zetu wanaotembea nusu uchi mabarabarani,kwenye maharusi,na kwenye nyumba za ibada watu wanapoenda kuonana na Mungu na miungu yao

3:Wanawake wanaowanyanyasa waume zao.

4: Kusisitiza wanawake kuwa na CAPACITY na COMPETENCY badala yake wanakua wanapigania 50/50 bila kutoa competency na capacity based standards za kupata hiyo ratio.

5: Wanawake walioolewa baadhi kuwa wakali kwa vipato vyao wakitegemea kila kitu kwa Mme wake japo wote ni wafanyakazi na Wenda Mme anazidiwa kipato. Ila wanasisitiza wanawake kujitafuta vipato vyao wasiwe tegemezi.

6:Nini kitatokea kama wanawake mfano wakifanikiwa hii mission ya usawa na kwa sababu hakuna Wa kuregurate huo usawa wanawake wakapitiliza na kuwa zaidi ya wanaume.

7: Sisikii wakipaza sauti kulilia haki ya kutoa mahali au kupiga marufuku kuolewa mahali. Angalau basi Kuwa na Sir Names za KIKE mfano Malingumu Chausiku

Tusipoangalia tutalishwa vitu ambavyo hata mwenyewe wanaotuletea hawafanyi

Najaribu kutafakari
 
mbona unakuwa na wasiwasi kama siyo kidume aise

hiyo 50/50 amnaga
 
mbona unakuwa na wasiwasi kama siyo kidume aise

hiyo 50/50 amnaga
Hakuna anayeogopa chief, kwnza Mimi sio muhumini Wa haki za wanawake,
Mimi ninaamini katika haki za binadamu, awe mwanamke,mwanaume,mtoto wanapaswa kupewa haki zao za kimsingi sio kumkaririsha mtu kuwa anaonewa hata kama yuko sawa.
 
Mkuu usawa hautakuja kutokea mana hata natural inakinzana na usawa ww mtu anaenda hedhi bado anabeba mimba utamuweka sawa na mtu anae dunda siku zote za mwaka?
 
Back
Top Bottom