didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 2,106
- 3,585
Mi opposite yake mkuu,ili nisiwe na stress sana hapa katikati....au huenda ndiyo litakuwa kojozo la mwisho...hatujuiWakuu karibun mtaje vitu ambavyo hamtovifanya mpaka nchi hii ikombolewe. Binafsi naanza kama ifuatavyo
1. Sitofanya mapenzi mpaka October 29 ipite.
2. Sitoangalia picha au picha mjongeo yoyote yenye maudhui ya ngono.
Karibu mtiririke
Wakuu karibun mtaje vitu ambavyo hamtovifanya mpaka nchi hii ikombolewe. Binafsi naanza kama ifuatavyo
1. Sitofanya mapenzi mpaka October 29 ipite.
2. Sitoangalia picha au picha mjongeo yoyote yenye maudhui ya ngono.
Karibu mtiririke
Kwa hali ya hewa jijini ilivyo hiyo namba moja najitoa, lazima niutumikie vilivyo. ila namba 2 tupo pamoja.Wakuu karibun mtaje vitu ambavyo hamtovifanya mpaka nchi hii ikombolewe. Binafsi naanza kama ifuatavyo
1. Sitofanya mapenzi mpaka October 29 ipite.
2. Sitoangalia picha au picha mjongeo yoyote yenye maudhui ya ngono.
Karibu mtiririke
Tutatiki