Melanny
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 1,246
- 2,261
Huwezi kuamini.kwani unanijua mpaka uaminiSiamini ...
Kweli?
Huwezi kuamini.kwani unanijua mpaka uaminiSiamini ...
Kweli?
mbona sifa nyingi humo ni za wadangaji?Wadangaji hawata comment huu uzi
Jamii haina uwezo na kuthibitisha bikra ya mwanamke, ni yeye na mume wake.
Al muhim kujikubali kwa ulivyojaaliwa.Mimi nina chura,mtoto,heshima,
Kazi,
Haya mengine ni nyongeza tu.
NB: kwa mm lakini
Tatizo vya kwenye ndoa vinapatkina tu kirahisi, ya nini uoe !!?Kwel kabisa, sema wanaume pia tunatakiwa kuoa , c vyema kuwazalisha wanawake na kuwaacha, na wanawake mkiolewa mtulie basi kwenye ndoa zenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila binadamu ana mapungufu yake. Huwezi barikiwa vyote.Sijui anapatikanawapi mtu wa aina hiyo....kwenye dunia hii hii...?
Hapana, hiyo inabaki pale pale 10.Mku iyo namba kumi ingekaa juu pale
Yes upo sahihi hamna aliyekamilika, hivi Vitu ninavyompa mwanamke heshima katika jamii yetu, sio Vitu ninavyomfanya mwanamke kuwa bora kuliko wengine.Namba 10 umeharibu, mnachosahau ni kwamba hakuna binadamu aliyejiumba.
Hata namba 1, 2, 5 nazo umeharibu, mwisho wa siku haya maisha hayana kanuni moja.
Sawa sawaYes upo sahihi hamna aliyekamilika, hivi Vitu ninavyompa mwanamke heshima katika jamii yetu, sio Vitu ninavyomfanya mwanamke kuwa bora kuliko wengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
10 . % kubwa inabase kwa wanaume. ..sijui mlirogwa nanani juu ya matak jamani
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nina chura,mtoto,heshima,
Kazi,
Haya mengine ni nyongeza tu.
NB: kwa mm lakini
Mbona avator umetuonesha matako..nyie ndo mnaturoga kwa kutuaminisha uzuri wa picha ni matako na wa mtu pia ni matako10 . % kubwa inabase kwa wanaume. ..sijui mlirogwa nanani juu ya matak jamani
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app