Goliath mfalamagoha
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 601
- 2,508
Hivi Dsm na Mikoani kama Arusha na Kilimanjaro ni wapi penye shida ya maji?hii unatuhusu wanaume WA dar tu nyie wa kijijini ambao kuoga mpaka muende mtoni kaa mbali na hapa
Bahati nzuri yako uzi kumbe wa miezi ya shetani nilitaka nikufanye hamna.hii unatuhusu wanaume WA dar tu nyie wa kijijini ambao kuoga mpaka muende mtoni kaa mbali na hapa
SalaleeeKweli hatupendi pesa kabsaaa[emoji81][emoji81]