Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 2,150
- 1,415
Salam wajuvi.
Nimeshawahi kuona baadhi ya watu hasa watoto kuwa na vitovu vikubwa. Je hii kitaalam inaweza kuwa ni nini?
Unapokuwa mkubwa kitovu hicho hurudi na kuwa kama ambavyo wengi wetu tupo.
Kama ni shida ya kiafya je huwa kuna tiba ama ni sawa na ukilema hivyo hudumu hadi kifo?
Mwenye uelewa na hii kitu atujuze.