Vitovu vikubwa kwa watoto ni ugonjwa?

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
1,880
1,133
Salam wajuvi.
Nimeshawahi kuona baadhi ya watu hasa watoto kuwa na vitovu vikubwa. Je hii kitaalam inaweza kuwa ni nini?

Unapokuwa mkubwa kitovu hicho hurudi na kuwa kama ambavyo wengi wetu tupo.
Kama ni shida ya kiafya je huwa kuna tiba ama ni sawa na ukilema hivyo hudumu hadi kifo?

Mwenye uelewa na hii kitu atujuze.

Hernia.jpg
 
Umbilical hernia,,tundu huwa linafunga kadri anavyokua lakini kwa wengine linaweza lisifunge lenyewe hvyo kukua nayo
 
Hiyo kitu inaitwa umbilical hernia,mara nyingi hua inafunga yenyewe na kitovu kurud kama kawaida ila kwa cases nyingine hua wanafanyiwa operations ila locally kama mtoto anayo huwa wanafunga shilingi na nguo kitovuni kukirudisha ndan...
 
sasa hii ya kufunga shilingi mbona imekaa kiimani zaidi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom