Jeep rubicon
JF-Expert Member
- Jan 7, 2023
- 737
- 1,450
Ni minyoo tu hiyo,sema fanya mpango wa petrol Kisha nyunyuzia nyumba yote baada ya dk 10 fungua milango yote ili wakimbie.Hello people.
Naandika hapa nikiwa natetemeka jamani niko ndani ya neti naogopa kushusha miguu chini na nimebanwa na haja lakini naogopa kwenda chooni.[emoji24]
Ni hivi,nilikua naenda kuoga bafuni ile kuwasha taa nikaona kitoto cha nyoka cheusi kinatembea kwenye maungio ya tiles.
Nilivyokiona tu kile kinyoka akili ikanambia mama yake hayuko mbali.Nikajikuta natengeneza picha ya mama yake na kwa jinsi ninavyoogopa nyoka nikajikuta napiga yowe moja kali nikageuka fasta kurud chumban na ku dive kitandani na kuchomekea neti.Moyo unadunda nataman kulia na sitapata usingizi leo.
Two weeks ago niliona tena kitoto cha nyoka kama hichi cha leo ila kilikua kimekufa na kwa vile mazingira yalisafishwa na kilikua kimekufa sikujali.
Hichi cha leo kimenitia presha sikuwahi kuwaza nitaona nyoka ndani ya nyumba yangu.Yesu nitetee mimi jamani[emoji24].
Nahisi tu kuna wazazi wao somewhere nyumban kwangu wanazaliana tu jamani[emoji24].Sijui wako mvunguni,sijui wako chini ya bathtub,sijui wako kabatin,sijui wako kwenye moja ya mapoch yangu.
Sitakua tena na amani na hii nyumba,ingekua ugenin kesho ningeaga ila hapa ni kwangu na mbaya nyumba ni kubwa na kila room imejaa vitu.Hata nikitafute mtu anisaidie kuwatafuta awaue ataanzia wapi aishie wapi?
Mlinzi kaja dirishan anauliza madam vp mbona mayowe?Namwambia kuna nyoka bafuni kwangu.Anauliza mkubwa kias gani?Namwambia ni kitoto kama kile tulichoona kimekufa siku ile.Baada ya kumjibu hivyo namsikia anafyonza huko nje then anawasha kiredio chake anaondoka.Namwambia sasa unanisaidiaje?Anasema huyo ni kama mjusi tu we lala then namsikia mwenzie anacheka hlf anamwambia mwambie ni kama mnyoo huyo alishavunja mguu kwa kuogopa mjusi.Leo nimetamani ningekua na mume yeye ndo angepambana na hawa viumbe.
Anyways.Wakuu naomba mnisaidie mawazo ya nini kifanyike kuhakikisha hawa viumbe kama wanaishi humu ndani wanatoka na kufa kabisa.
Hivi hakuna dawa ya ku spray nipulize nyumba nzima kama wapo wafe?
Pia naomba kujuzwa,hivi ukiona vitoto si ni ishara kuwa wazazi wao wapo around eeh?
π€πLeo nimetamani ningekua na mume yeye ndo angepambana na hawa viumbe.
Makopo ya mkojo hahaahahahPunguza vitu vilivyojazana huko ndani kwako, si ajabu unaisha na wadudu wengi bila kufahamu, kama kweli huko ndani kuna nyoka basi na vyakula vyake vipo humk humo...
Mpangilio wa nyumba ni kitu cha muhimu sana , inashangaza unahisi yupo uvunguni, si ajabu hadi uvunguni wa kitanda chako kumejaa makoro koro....
tafuta spray ya rungu, waliingiyaga nyumba jirani tulifanya ivyo tuka spray then unafanya usafi unawakuta wamechoka na kufa wengine coz ya iyo harufu afu unafanya usafi overHello people.
Naandika hapa nikiwa natetemeka jamani niko ndani ya neti naogopa kushusha miguu chini na nimebanwa na haja lakini naogopa kwenda chooni.[emoji24]
Ni hivi,nilikua naenda kuoga bafuni ile kuwasha taa nikaona kitoto cha nyoka cheusi kinatembea kwenye maungio ya tiles.
Nilivyokiona tu kile kinyoka akili ikanambia mama yake hayuko mbali.Nikajikuta natengeneza picha ya mama yake na kwa jinsi ninavyoogopa nyoka nikajikuta napiga yowe moja kali nikageuka fasta kurud chumban na ku dive kitandani na kuchomekea neti.Moyo unadunda nataman kulia na sitapata usingizi leo.
Two weeks ago niliona tena kitoto cha nyoka kama hichi cha leo ila kilikua kimekufa na kwa vile mazingira yalisafishwa na kilikua kimekufa sikujali.
Hichi cha leo kimenitia presha sikuwahi kuwaza nitaona nyoka ndani ya nyumba yangu.Yesu nitetee mimi jamani[emoji24].
Nahisi tu kuna wazazi wao somewhere nyumban kwangu wanazaliana tu jamani[emoji24].Sijui wako mvunguni,sijui wako chini ya bathtub,sijui wako kabatin,sijui wako kwenye moja ya mapoch yangu.
Sitakua tena na amani na hii nyumba,ingekua ugenin kesho ningeaga ila hapa ni kwangu na mbaya nyumba ni kubwa na kila room imejaa vitu.Hata nikitafute mtu anisaidie kuwatafuta awaue ataanzia wapi aishie wapi?
Mlinzi kaja dirishan anauliza madam vp mbona mayowe?Namwambia kuna nyoka bafuni kwangu.Anauliza mkubwa kias gani?Namwambia ni kitoto kama kile tulichoona kimekufa siku ile.Baada ya kumjibu hivyo namsikia anafyonza huko nje then anawasha kiredio chake anaondoka.Namwambia sasa unanisaidiaje?Anasema huyo ni kama mjusi tu we lala then namsikia mwenzie anacheka hlf anamwambia mwambie ni kama mnyoo huyo alishavunja mguu kwa kuogopa mjusi.Leo nimetamani ningekua na mume yeye ndo angepambana na hawa viumbe.
Anyways.Wakuu naomba mnisaidie mawazo ya nini kifanyike kuhakikisha hawa viumbe kama wanaishi humu ndani wanatoka na kufa kabisa.
Hivi hakuna dawa ya ku spray nipulize nyumba nzima kama wapo wafe?
Pia naomba kujuzwa,hivi ukiona vitoto si ni ishara kuwa wazazi wao wapo around eeh?
Mel Gibson mtu mbad Sana mzee wa Apocalypto na braveheartNdugu Umeanza lini kuwa Mel Gibson ?
Hii post usome vizuri ina Jumbe zaidi ya tatu.Mel Gibson mtu mbad Sana mzee wa Apocalypto na braveheart
Nimekuaminia Tiss wangu,imebidi nirudie kusoma ikabidi niseme tu hiiiiiiiiiiiiii πππππHii post usome vizuri ina Jumbe zaidi ya tatu.
Mtoa mada ni janja Janja fc
π€£π€£π€£π€£ Watanzania akili zetu,Hao wazazi wake watakuwa hawatumii kondomu....haiwezekani wawe wana zaliana haraka harak hivo...hata matanga ya kitoto cha kwanza hayajaisha