Juan San Roman
Member
- Mar 13, 2012
- 52
- 12
na sisi tunahamu ya kuwala wasomali pure sii wale wa temeke au mtoni kwa azizi alli utatusaidiaje ku connect na hao girls wa kisomali?maana mkimuona tuu na mswahili eti mnamtenga how comes wakati nyie mna faidi dada zetu tena kwa mitandao yote?
Ni PM basi contact zake za hako kabinti ka kibongo ili nami nifaidi
Mh! Dah! Nakosa hata la kucomment, aniways hongera, ila account name yako ya facebook umeweka ili? Yaani kusudi kuu ni?
hiran nafmale wa delo
Jamani mm ni msomali by nature, nilikua nje ya nchi kwa masomo so nimerudi kama about three months ago, napiga kazi kwenye kampuni mmoja ya simu hapa Dar (Tigo), well nilikua sijawahi kuwa na romantic relationship na msichana wa kiswahili, nilivoonjeshwa mara ya kwanza 2 na binti mmoja hapa kazini, nilipigawa ile kinoma,zamani nilikua na dhana ya kuwa mabinti wengi wa kibongo hawathamini mapenzi bali pochi, ila kwa sasa nimejua wako poa sana...am enjoying my self now....my face book account is Kaluun Maysar!!!!!!!!!!!!!!!!!:yell::yell:

Unaweza kuanzisha thread nyingine ya kutafuta marafiki, utapata wengi tui am looking for freinds.....u can add me babe S